-
-
-
Ongeza Kipato Chako
0Kama unatamani kuongeza kipato chako kwa sasa na kuwa na uhakika wa kuendelea kuwa na kipato kinachojitosheleza hadi pale utakapozeeka na uache urithi mzuri kwa kizazi chako kinachofuata, kitabu hiki kitakufaa sana kwa sababu utapata ufahamu sahihi juu ya fedha, uwekezaji na biashara na katika namna unayoweza kufanyia kazi kuanzia leo. Utajifunza jinsi ya kupanga bajeti yako ili upate ziada ya akiba na uwekezaji, pia kutengeneza mkakati wa muda mrefu wa kupata uhuru wa kifedha.
-
Timiza Malengo Yako
1Je una malengo ya kufanikiwa katika maisha yako? Kitabu hiki kinatoa mbinu ambazo wengi wamezitumia na wanaendelea kuzitumia duniani kote ili kufikia malengo waliyojiwekea katika maisha yao. Ukweli ni kuwa watu hawashindwi kutimiza malengo yao kwa sababu hawana uwezo na shauku ya kufanya hivyo, bali kwa sababu wameshindwa kujua wafanye nini ili kutimiza malengo waliyonayo katika maisha yao. Katika kitabu hiki utajifunza mambo kadhaa ikiwemo namna ya kuweka malengo yanayofanikiwa. kujua kusudi lililofanya uzaliwe. Mbinu za kuifanya ndoto yako kuwa uhalisia
-
Saikolojia ya Mteja
0Katika Biashara yoyote ambayo mtu anaifanya awe anatoa huduma au anauza bidhaa, moja ya uwezo mkubwa sana anatakiwa kuwa nao ni uwezo wa kuhudumia wateja. Na hii imekua ni changamoto kwa watu wengi. Kitabu hiki kimeandaliwa maalumu kwa ajili ya kukupatia maarifa sahihi juu ya saikolojia ya mteja na utajifunza mambo mengi yatakayobadilisha ufahamu wako juu ya mteja.
-
Pivoting in Heels
0Stories of the brave women leaders who faced the pandemic head-on and still managed to keep businesses afloat, who inspired others to keep going, who lay hold of new business opportunities, who crafted a new way of being and thinking while offering support to their communities.
-
Hazina ya Penzi
0Kuna watu ambao huamini hakuna mapenzi ya kweli duniani, na kuna wanaokubali mapenzi ya kweli yapo. Na hawa wotewanaongea kutoka katika maisha ambayo wameishi, mazingira wakiyokulia, mambo waliyoshuhudia, waliyosoma na pengine waliyofanyiwa. Pamoja na yote hayo bado haiondoi ukweli kwamba mapenzi imekuwa mada na swala linaongelewa sana Ulimwenguni kote. Watu wameua kwa sababu ya mapenzi, watu wameumwa, wamejeruhi, wamejenga uadui kwa sababu ya jambo hili mapenzi.
-
Elon Musk
0Elon Reeve Musk FRS is a business magnate and investor. He is the founder, CEO and chief engineer of SpaceX; angel investor, CEO and product architect of Tesla, Inc.; owner and CEO of Twitter; founder of the Boring Company; co-founder of Neuralink and OpenAI; and president of the philanthropic Musk Foundation.