-
Ngongoti Shujaa wa Taifa
0Wengi tumekua tukiangalia filamu na kusoma hadithi za Spiderman, Superman, na Batman, ni wakati umefika sasa watoto wa Tanzania na Afrika wawe na mashujaa wao. Mashujaa wanaoweza kusambaza mila na maadili tajiri ya Kiafrika huku kukiwa na wimbi kubwa la utandawazi, ambalo linahatarisha kuharibu utambulisho wetu wa kitamaduni. Hiyo ndiyo kusudi halisi la BETA KIDS, BETA KOMICS, na BETA PANTHA Tunapoitambulisha kwenu tamthilia/kitabu cha NGONGOTI SHUJAA/NGONGOTI THE SUPERHERO, mfululizo wa vitabu vya mashujaa wa kwanza kutoka Tanzania. Pata nakala leo na ulete furaha kwa watoto wako na hata watu wazima pia.
Ngongongoti yuko hapa kuwaongoza watoto wako katika:
1. Kujenga kujiamini
2. Kuelewa aina mbalimbali za unyanyasaji
3. Kuhimiza ubunifu na uvumbuzi
4. Kuthamini utamaduni wa Mtanzania
5. Kuunganishwa na mazingira ya Tanzania
6. Kukuza ujuzi wa uongozi
7. Kuheshimu wazazi, wazee, na walimu
8. Kuthamini kazi
9. Kupata stadi za maisha
10. Uhifadhi wa mazingira -
Kushindwa ni Chimbo
0Mwandishi Harris Kapiga ameandika kitabu hiki kukutiamoyo wewe ulieanguka/kushindwa kwenye mambo mengi, na ukahisi ndo basi;
KUSHINDWA KWENYE CHOCHOTE NI CHIMBO LA MAARIFA NA KUSONGA MBELE!
-
-
-
Vipande (Units) – Ndogo
0Jifunze kuhusu Uwekezaji wa pamoja kupitia Vipande – Maana, Aina, Faida, Kununua, Kuuza na Changamoto
-
Vipande (Units) – Kubwa
0Jifunze kuhusu Uwekezaji wa pamoja kupitia Vipande – Maana, Aina, Faida, Kununua, Kuuza na Changamoto
-
-
-
-
-
-
Maono na Malengo
0Nafasi ya mawazo, maono, malengo kutufanikisha kiroho, kitaaluma, kifedha, kiuchumi na kijamii.
-
-
-
Sadaka na Baraka
0Jifunze maana, faida na changamoto kuhusu zaka, zabibu, malimbuko, na nadhiri ufanikiwe kifedha, kiuchumi, kiroho na kijamii.
- Chris Mauki (2)
- Dr. Gladness Temu (1)
- Emilian Busara (2)
- Emillian Busara & Mrembo Grace (15)
- Eric Shigongo (1)
- Grace G.R. (1)
- Harris Kapiga (1)
- Joel Arthur Nanauka (1)
- Masoud Kipanya (1)
- Mrembo Grace (1)
- Msafiri Lwihula (1)
- Noel Issaya Katongo (1)
- Pastor Deogratius Sukambi (1)