-
-
-
Black and White Thinking
0Black and White Thinking (2020) examines the human brain’s irresistible impulse to sort things into binary categories: black and white, good and evil, right and wrong.
-
Siri ya Kuwaza na Kupanga Kimkakati
0Kitabu kinaeleza uhusiano wa mawazo na mafanikio. Umuhimu wa kuandika mpango badala ya kuwa nao kichwani, uhusiano wa mawazo na matokeo, shauku, uchu na hamu ya kupanga na kutimiza malengo na ndoto pamoja na sababu 5 za umaskini.
-
Kustaafu
0Kustaafu ni lazima, hivyo ni vizuri kujiandaa. Kupitia kitabu hiki cha kustaafu kuna aina 12 za mazingira bora yanayoleta tija kabla ya kustaaafu, kazi 5 za kufanya baada ya kustaafu, maeneo ya kujianda kabla ya kustaafu, mikakati 7 ya kuishi maisha marefu baada ya kustaafu, mambo 7 ya kuzingatia kabla hujatumia pensheni n.k
-
Kuongeza Thamani
0Kanuni/siri kubwa ya watu au biashara zilizofanikiwa kwa viwango vya juu ni kuongeza thamani. Kama unataka kuongeza utajiri utakaodumu ni kuongeza thamani ya kile unachofanya. Kitabu hiki kitakufundisha namna ya mbinu utakazoweza kutumia katika kuongeza thamani ya bidhaa, huduma, na maisha ya watu kwa ujumla.
-
-
Hisa Akiba na Uwekezaji
0Hisa ni mali fedha. Ndani ya kitabu hiki utapata kujua kwa undani hisa ni nini, faida zake, faida za hisa, changamoto na soko lake. Pia utajifunza mambo ya kuzingatia kabla ya kununua hisa kama vile utaratibu wa kununua na kuuza hisa.
-
Hekima Maarifa na Ufahamu
0Hekima, maarifa na ufahamu huondoa umaskini, ujinga, migogoro, hasara n.k. Kitabu kinaeleza tofauti kati ya hekima, maarifa na ufahamu, sifa zake, mikakati ya kupata na kuongeza hekima, maarifa na ufahamu ili ufanikiwe kifedha, kiuchimi, kisisasa kijamii, uongozi na huduma.