Availability: In Stock

Kanuni ya Kipaumbele na Kufanya Vichache

Sh15,000.00

Description

Katika kanuni ya kipaumbele utajifunza aina za vipaumbele katika kujenga uhuru wa kifedha, hasara na athari za kufanya kitu bila kuwa na kipaumbele. Katika kanuni ya kufanya vichache utajifunza umuhimu na hatua 6 za kuchukua kufanya jambo moja kwa umakini zaidi.