• Vipande (Units) – Ndogo

    0

    Jifunze kuhusu Uwekezaji wa pamoja kupitia Vipande – Maana, Aina, Faida, Kununua, Kuuza na Changamoto

    Sh15,000.00
    Add to cart
  • Vipande (Units) – Kubwa

    0

    Jifunze kuhusu Uwekezaji wa pamoja kupitia Vipande – Maana, Aina, Faida, Kununua, Kuuza na Changamoto

    Sh35,000.00
    Add to cart
  • Hisa

    0

    Maana, faida, changamoto, kununua, kumilikina kuuza hisa

    Sh15,000.00
    Add to cart
  • Kustaafu

    0

    Kustaafu ni lazima, hivyo ni vizuri kujiandaa. Kupitia kitabu hiki cha kustaafu kuna aina 12 za mazingira bora yanayoleta tija kabla ya kustaaafu, kazi 5 za kufanya baada ya kustaafu, maeneo ya kujianda kabla ya kustaafu, mikakati 7 ya kuishi maisha marefu baada ya kustaafu, mambo 7 ya kuzingatia kabla hujatumia pensheni n.k

    Sh35,000.00
    Add to cart
  • Kuongeza Thamani

    0

    Kanuni/siri kubwa ya watu au biashara zilizofanikiwa kwa viwango vya juu ni kuongeza thamani. Kama unataka kuongeza utajiri utakaodumu ni kuongeza thamani ya kile unachofanya. Kitabu hiki kitakufundisha namna ya mbinu utakazoweza kutumia katika kuongeza thamani ya bidhaa, huduma, na maisha ya watu kwa ujumla.

    Sh15,000.00
    Add to cart
  • Hisa Akiba na Uwekezaji

    0

    Hisa ni mali fedha. Ndani ya kitabu hiki utapata kujua kwa undani hisa ni nini, faida zake, faida za hisa, changamoto na soko lake. Pia utajifunza mambo ya kuzingatia kabla ya kununua hisa kama vile utaratibu wa kununua na kuuza hisa.

    Sh35,000.00
    Add to cart
  • Hatifungani

    0

    Katika kitabu cha Hatifungani na dhamana ya serikali utajifunza nini maana ya hatifungani, na aina zake. Pia utajifunza vigezo unavyotakiwa kuzingatia kabla ya kununua hatifungani, utaratibu wa kuuza na kununua hatifungani, changamoto n.k. Pia utajifunza jinsi ya kusajili benki kuu ili kushiriki katika dhamana za serikali na hatifungani za serikali kuu pamoja na mchango wa hatifungani katika maendeleo ya nchi.

    Sh45,000.00
    Add to cart
  • Fursa za Mafanikio

    0

    Mwandishi ametambua namna watu wengi tunatamani kupata fursa lakini zinapokuja hatuchukui hatua kwa kuanza kutafuta ugumu wa fursa hiyo kabla hatujaichukua hatimaye fursa zinatupita. Kitabu hiki kitakufundisha namna ambavyo fursa ndogo zinaweza kukuletea mafanikio makubwa, heshima pamoja na makosa ya kuepuka ili tutwae fursa hizo pamoja na mikakati mbalimbali ya kuzingatia.

    Sh15,000.00
    Add to cart
  • Biashara Bora

    0

    Zaidi ya asilimia 80 ya biashara mpya hufa kabla ya kutimiza miaka miwili. Hapa utajifunza aina za biashara bora, mambo ya kuzingatia kabla ya kuanzisha biashara, sifa na tabia za biashara bora ili uanzishe, uzalishe, umiliki na uwekeze katika biashara.

    Sh15,000.00
    Add to cart