• Kushindwa ni Chimbo

    0

    Mwandishi Harris Kapiga ameandika kitabu hiki kukutiamoyo wewe ulieanguka/kushindwa kwenye mambo mengi, na ukahisi ndo basi;

    KUSHINDWA KWENYE CHOCHOTE NI CHIMBO LA MAARIFA NA KUSONGA MBELE!

    Sh15,000.00
    Add to cart
  • Jipu Ndani ya Ubongo

    0
    Sh25,000.00
    Add to cart
  • Malezi Yenye Tija

    0

    Jamii ya sasa ina changamoto nyingi na nyingine hazikwepeki, yapo maendeleo ya kiteknolojia, kiviwanda, kiuchumi na kijamii. Maendeleo haya tukubali au tusikubali yanaathiri eneo la familia na malezi kwa kiasi kikubwa sana. Leo tunashuhudia ongezeko kubwa sana la wazazi wanaolea watoto bila mzazi mwenza. Changamoto hii imenifanya kuandika kitabu hiki ili kumsaidia mzazi, mlezi na yeyote mwenye mawazo ya kuja kuwa na familia huko mbeleni ili kuweza kupata ujuzi na uelewa wa mambo ya ndani kabisa yahusuyo malezi ya watoto wetu. Hakuna aliyezaliwa na ujuzi mkubwa wa malezi. Tunajifunza na tunafundishana. Nikutakie wakati mwema na akili iliyotulia katika kusoma na kukifurahia kitabu hiki. Kusoma tu hakutokusaidia sana. Msaada na manufaa makubwa utayapata pale ambapo utaamua kukiweka kitabu hiki katika matendo.

    Sh15,000.00
    Add to cart
  • Mpe Mungu Ibada Kamili

    0

    In this book you will learn how to offer spiritual sacrifices acceptable to God through Jesus Christ, which are your body, praise, thanksgiving, prayer, offering and service to God. God desires for us to give him our total worship and not partial worship. As a believer you have been made a priest for the purpose of offering all spiritual sacrifices unto God. This is a call to a spiritually balanced life where worshipping God becomes the way of life.

    Sh20,000.00
    Add to cart