-
Kustaafu
0Kustaafu ni lazima, hivyo ni vizuri kujiandaa. Kupitia kitabu hiki cha kustaafu kuna aina 12 za mazingira bora yanayoleta tija kabla ya kustaaafu, kazi 5 za kufanya baada ya kustaafu, maeneo ya kujianda kabla ya kustaafu, mikakati 7 ya kuishi maisha marefu baada ya kustaafu, mambo 7 ya kuzingatia kabla hujatumia pensheni n.k
-
Hekima Maarifa na Ufahamu
0Hekima, maarifa na ufahamu huondoa umaskini, ujinga, migogoro, hasara n.k. Kitabu kinaeleza tofauti kati ya hekima, maarifa na ufahamu, sifa zake, mikakati ya kupata na kuongeza hekima, maarifa na ufahamu ili ufanikiwe kifedha, kiuchimi, kisisasa kijamii, uongozi na huduma.