Availability: In Stock

Unyenyekevu Na Kiburi

Sh15,000.00

Category:

Description

Katika kitabu cha Unyenyekevu na Kiburi, mwandishi anaamini hakuna mafanikio kama hakuna unyenyekevu. Na ili ufanikiwe ni lazima uwe mnyenyekevu. Watu wengi hata waliofanikiwa wanapokosa hali ya unyenyekevu na kuwa na kiburi kwa kuamini zaidi pekeyao bila kuhitaji msaada/ushirikiano wa watu wengine, malengo yao huwa yanaishia njiani. Utajifunza pia njia zitakazokusaidia kujenga tabia ya unyenyekevu ikiwa ni pamoja na kumtumikia Mungu na kutumikia wengine bila kujali nafasi uliyopo.

Additional information

book-author

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Unyenyekevu Na Kiburi”

Your email address will not be published. Required fields are marked *