Joel Arthur Nanauka

Joel Arthur Nanauka

JOEL ARTHUR NANAUKA, Ikiwa ni njia ya kusaidia watu wengi na kubadilisha mtazamo wao wa maisha, Mwandishi alianzisha programu maalum iitwayo Mentorship Program ambapo watu hukutanishwa na watu waliofanikiwa katika nyanja mbalimbali ili waweze kujifunza. Programu hii inayofanyika bila malipo imewasaidia wengi katika mikoa mbalimbali ya Tanzania. Amewahi pia kufanya kazi na shirika la UNESCO. Mafunzo yake yanapatikana kwa njia mbalimbali za CDs, DVDs na Vitabu na kupitia Mentorship Magazine linalotoka kila Mwezi. Lakini unaweza kutembelea tovuti yake www.JoelNanauka.com ili kujifunza zaidi. Kupitia ukurasa wake wa Facebook na WhatsApp huwa anatoa mafunzo ya kila siku ambayo wengi yameweza kubadilisha maisha yao.

Books By Joel Arthur Nanauka