Chris Mauki

Chris Mauki

Dr. Chris Mauki ni Mhadhiri katika Idara ya Saikolojia ya Chuo Kikuu cha Dar es salaam. Ni mtaalamu na mbobezi katika Masuala ya Kijamii, kifamilia, ushauri wa kisaikolojia na mahusiano. Baadhi ya maeneo ambayo Dr. Chris hushauri ni masuala ya familia, matatizo ya tabia, changamoto za kiajira, malezi, maandalizi ya kustaafu na masuala ya msongo wa mawazo. Dr. Chris ni mzungumzaji mhamasishi “Inspirational and Motivational Speaker” ,mwandishi wa vitabu na makala, mtoa mada pamoja na mzungumzaji nguli kwenye televisheni na redio. Baadhi ya mafundisho ya Dr. Chris yanapatikana kwenye CD’s DVD’s vitabu, makala za magazeti pamoja na mtandaoni.

Books By Chris Mauki