CategoriesUncategorized August 18, 2024 By admin Bukika Stories Na Masoud: Episode 3 Masoud Kipanya, Ambaye amejipatia umaarufu kwa sanaa yake ya Uchoraji Katuni kama njia yake ya kiwasilisha jumbe zenye kufikirisha. Lakini pia mwandishi na mchambuzi anayeheshimika kwa namna yake ya kuyatazama mambo. kupitia kitabu cha Vipande 26 vya Keki ameongelea namna tamaa za mali, ushindani uliopitiliza, unavyopelekea labda kujiumiza ama kuumiza wengine. Lakini ameonesha namna ambavyo unaweza kuyafurahia maisha kama tu utabadilisha mtazamo juu ya mambo ya maisha. Katika Episode 6 za video, kwa maneno yake mwenyewe Masoud anaeleza dhana kuu alizozijadilia kwenye kitabu Chake. Post navigationPrev Siri ya Makampuni Yanayofanya Vizuri Sokoni Next Bukika Stories Na Masoud: Episode 4 Leave a Reply Cancel replyYour email address will not be published. Required fields are marked * Save my name, email, and website in this browser for the next time I comment.