Karibu kwenye ‘Ulimengu wa Bukika’!
Uzoefu umekuwa ukionyesha kwamba bookshops zipo chache au maduka ya vitabu ni machache. Mengi yapo kwenye makao makuu ya miji au miji mikubwa tu.
Lakini huko chini, wilayani, vijijini, imekua changamoto sana kuwa na sehemu ya kuuzia vitabu.
Bukika imekuja na SULUHISHO la kuhakikisha linamsaidia msomaji kuweza kununua kitabu na kikamfikia ndani ya masaa 24!! BILA kujalisha yupo upande gani wa Tanzania.