DOMAIN Of your INFLUENCE

Kila mtu anauwezo wa kipekee sana kwenye ENEO fulani ambalo ndio Kipaji Cha kumsaidia kufikia kusudi la maisha yake. God never made a failure!! yes I repeat with CAPITALS that GOD NEVER MADE A FAILURE!!!!!++++ you are the BEST BRAND of God in this generation in a very specific industry/assignment

Kama unajiona kila siku unashindwa, wewe ni wa kuanguka tu bila mafanikio!!! Tafadhali CHUKUA HATUA ya KUTULIA vya kutosha na kujitafuta na kujua OBORA WAKO upo kwenye kitu gani then bila ya kujali kwamba kinakupa pesa za haraka au La!!! JENGA UWEZO kila siku kwa JUHUDI kubwa bila ya kuchoka

Usidharau uwekezaji unaoufanya kwenye eneo lako la ushawishi hata Kama hauoni matokeo ya haraka kwa sasa—— COZ UTAVUNA KWA WAKATI MKAMILIFU

Ulizaliwa kuisaidia dunia kuwa sehemu bora

Ulizaliwa kuwa suluhisho la matatizo

Ulizaliwa kuwa Nuru katikati ya Giza

I want to close by guarantee you today, that if you Don’t stop in the middle, you will rest at the End with Joy 🤩❤️

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *